Halmashauri ya mji wa Ifakara kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali kutoka Tume ya Taifa ya uchaguzi wakiendesha Mafuzo ya nadharia na vitendo kwa Maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata ili kuwajengea uwezo wa kutumia mashine za uandikishaji wapiga kura (BVR) katika zoezi la uboreshaji daftari la wapiga kura .mafuzo hayo yatawasaidia katika kusimamia zoezi zima la uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwa mwaka wa uchaguzi 2020.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa