Saturday 6th, March 2021
@
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mh. James Ihunyo Atazindua rasmi msimu mpya wa kilimo kwa mwaka 2018/2019 katika Halmashauri ya Mji Ifakara ,uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya shule ya msingi lipangalala kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Wananchi wote mnakaribishwa.
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa