Wanachana na watendani wa Red Cross Society tawi la Ifakara, wakimweleza Mkuu wa Wilaya ya Kilombero shughuli wanazozifanya katika kusaidia Jamii.kuwa ni pamoja na kuhamasisha na kuchangia damu Kwa ajili ya kusaidia watu wenye uhitaji. lengo ni kuokoa maisha ya watu.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa