Kwa Mujibu wa Sheria ya Ardhi Na.04 ya mwaka 1999 Mtu yeyote ambaye amemilikishwa Kiwanja na mashamba anapaswa kulipia kodi ya Ardhi kila ifikapo tarehe 01 Julai ya kila Mwaka.
Hatua za kulipia kodi hiyo ni kama zifuatavyo;
1.Mmiliki anapaswa kufika Ofisi ya Mkurugenzi Idara ya Mipango Miji kitengo cha Ardhi akiwa na kivuli cha Hati yake pamoja na risiti ya malipo ya nyuma
2.Atapatiwa Ankara ya Malipo inayolingana na deni lake na atapaswa kwenda kulipia Benki ya NMB
3.Atarejesha Hati ya Malipo Ofisi ya Mipango Miji kwa ajili ya kupatiwa risiti ya Serikali
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa