• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

"ZINGATOENI SUALA LA LISHE ILI KUBORESHA UKUAJI NA AFYA ZA WATOTO."LUCAS MWILWAPWA

Posted on: December 21st, 2024

"ZINGATIENI SUALA LA LISHE ILI KUBORESHA UKUAJI NA AFYA ZA WATOTO" .Lucas Mwilwapwa.

Wakazi wa Kata ya Kibaoni wametakiwa kuzingatia suala la lishe kwa kutumia vyakula vya asili hasa mbogamboga na matunda kwenye milo yao.

Hayo yamesemwa na Afisa Lishe wa Kituo cha Afya Kibaoni Lucas Mwilwapwa mapema wiki hii  wakati walipokua wakiadhimisha siku ya Lishe katika Kituo cha Afya Kibaoni .

Timu ya wataalamu wa Lishe katika kituo cha Afya kibaoni pamoja na Mtendaji wa Kijiji  wametoa elimu juu ya namna bora ya kupangilia mlo wa Kila siku hasa Kwa watoto,wajawazito na mama wanao nyonyesha.

Aidha Afisa Lishe wa kituo cha Afya kibaoni Bw.Lucas Mwilwapwa amesema kuwa kufuatilia mpangilio mzuri wa ulaji wa makundi yote ya vyakula  Kuna leta faida mbalimbali hasa upatikanaji wa madini na vitamini ambayo huboresha afya za watoto hasa kipindi hiki cha magonjwa mlipuko na homa za matumbo. 

"Mlo kamili ni kinga dhidi ya magonjwa yote, maana hufanya mwili kuwa imara kwenye kupambana na magonjwa pia Vitamin A ni matone muhimu kwa watoto  kila baada ya  miezi sita hivyo wazazi msipuuze, haya matone ni msaidizi wa mbogamboga," alisema Mwilwapwa na kuongeza kuwa

 " Msisahau vidonge vya minyoo kwa kila mtoto mwenye mwaka mmoja na kuendelea, minyoo imekuwa sumu na kurudisha nyuma ukuaji wao leteni watoto wapate chanjo kwa wakati." alisema Mwilwapwa.







Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani