Ziara ya waheshimiwa madiwa na baadhi ya wataalamu Mkoani Mbeya
Halmashauri ya Mji Ifakara imefanikiwa kufanya ziara kwa lengo mahususi la kujifunza namna ya kufanya kilimo cha umwagiliaji wilayani Mbarali Mkoa wa Mbeya kwa maslahi ya wananchi wa Halmashauri ya Mji na Taifa kwa ujumla,ziara hii imejumuisha waheshimiwa madiwani wote pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara,ziara hii imeanza tarehe 15/12/2022 na inategemewa kukamilika tarehe 19/12/2022.