Zahara awatembelea Wahanga wa Mafuriko
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Zahara Michuzi ametembelea Wahanga wa Mafuriko waliopoteza wapendwa wao Mwanzoni mwa Mwezi huu na kuwapa pole kwa niaba ya Mbunge, Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero.

Mkono wa pole umetolewa Aprili 24,2024 katika Kata za Katindiuka na Lumemo