• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA WELEDI

Posted on: January 23rd, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi. Zahara Michuzi amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara kufanya Kazi kwa weledi , maarifa na  kuzingatia kanuni, Sheria ,maadili na miongozo ya Utumishi wa Umma.


Hayo ameyasema leo Alhamisi Januari 23,2025  katika Kikao cha Wafanyakazi wote kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo Halmashauri ya Mji Ifakara.


Bi. Zahara alisisitiza umuhimu wa Kila mfanyakazi kutoa huduma Bora katika eneo lake la Kazi  na kuhakikisha kila mmoja anahakikisha  Malengo ya Halmashauri yanafikiwa, huku akiwataka Wafanyakazi kutoa huduma kwa Usahihi , uharaka na kwa ufanisi.


" Kila mtu akawajibike katika eneo lake la kazi, tufanye kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kuboresha utendaji kazi katika kila Idara". Alieleza Bi. Zahara na kuongeza

" Tuhakikishe tunatoa  huduma bora kwa Wananchi ,tuwasikilize na  tukatatue kero zao ili jamii yetu izidi kustawi ". Alimaliza Bi. Zahara


Awali Mkuu wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bw. Rashidi Semngoya aliwasisitiza  watumishi wote kuzingatia kanuni, miongozo, Sheria  na taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.


Aidha ,Watumishi hao walikula kiapo cha Utii, Uadilifu  na kutunza Siri.


Nae mmoja wa Watumishi hao Bw.David Kapanga ambaye ni Mkaguzi wa ndani wa  Halmashauri ya Mji Ifakara aliahidi kutekeleza yale yote waliyoambiwa katika kikao hicho na kuahidi kuishi katika kiapo walichoapa na  kuzingatia miongozo yote ya Utumishi wa Umma katika kutimiza Malengo ya Halmashauri ya Mji Ifakara.








Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani