• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

Mafunzo Mfumo wa Upimaji Utendaji Kazi Yatolewa

Posted on: December 11th, 2023

Wakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri za Ifakara,Mlimba,Ulanga na Malinyi  wamehudhuria mafunzo ya mfumo wa Upimaji  Utendaji kazi wa Taasisi - PIPMIS na yale ya Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi kwa Watumishi wa Umma -PEPMIS

Mafunzo hayo yameanza leo Disemba 11,2025 hadi  Disemba 16 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Ifakara yaliyoandaliwa na Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, yakiwahusisha pia Wakurugenzi wa Halmashauri hizo.

Akifungua mafunzo hayo Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya,amewataka Watumishi hao kuzingatia mafunzo yanayotolewa  kwani yataongeza umakini katika vituo vyao vya kazi na kutoa taarifa ya uwajibikaji wa kila siku. “Nawasihi watumishi mnaopata mafunzo haya ambayo yanafanyika nchi nzima hakikisheni mnatoa ushirikiano katika kuhakikisha tunafikia kusudio la serikali kufikia malengo yaliyowekwa.” Amesisitiza Kyobya.

Kwa Upande wake Afisa kutoka Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi na Umma Utawala bora ametoa maelekezo ya kuhakikisha usimamizi wa utendaji kazi  katika Utumishi wa Umma unazingatiwa kwa kufuata vigezo wakati wote na upimaji wa utendaji kazi kwa watumishi wa serikali uzingatiwe.

Mifumo hii ya kielektroniki ya Usimamizi wa Utendaji kazi( PEPMIS na  PIPMIS) pamoja na  mfumo wa Tathmini ya rasilimali watu ili kujiridhisha kama majukumu yanatekelezwa ipasavyo imeanza tangu Septemba 2023 ambapo  itasaidia kubaini hali ya mahitaji ya rasilimali watu,kufanya tathmini ya uhitaji wa Maafisa, wasaidizi na watumishi wanaohitajika ili kupata mahitaji sahihi ya watumishi  wanaohitajika kwani mfumo utachakata wenyewe idadi ya mahitaji ya watumishi wanaohitajika.

Mbali na hayo Mifumo itasaidia maombi ya uhamisho kufanyika kwa urahisi, usimamizi wa Utendaji kazi,utoaji wa taarifa za uwajibikaji,upangaji wa malengo na shuhuli za idara husika pamoja na uombaji wa mikopo bila kupoteza muda na gharama zisizo za lazima.

Matukio Katika Picha:


Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani