• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

"WAKULIMA WANUFAIKE NA UWEPO WA KIWANDA CHA SUKARI KILOMBERO "MHE.WAKILI DUNSTAN KYOBYA

Posted on: February 7th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amesema uwepo wa Kampuni ya  Sukari Kilombero uwe chachu ya  kuwanufaisha  wakulima wa Miwa katika Wilaya hiyo .

Hayo ameyasema leo Alhamisi Februari 6, 2025 wakati alipokuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Wadau wa ndani wa Kampuni ya Sukari Kilombero akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima .Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano uliopo katika Kampuni hiyo Kata ya Kidatu - Ifakara.

"Zone zifanyike vizuri ,teknolojia ya Uzalishaji iongezeke ili wakulima wazalishe kwa tija". Alieleza Mhe. Kyobya 

Aidha Mkutano huo ulihudhuriwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Londo( MB) ambapo aliwataka Viongozi katika Maeneo hayo  kuwa daraja la kuwaunganisha Wananchi na  Kampuni hiyo ya Sukari  kwa kuendelea kudumisha amani , utulivu na mahusiano mazuri baina yao.

" Bonde hili linategemea muwa kama chanzo cha Uchumi, Viongozi mnakazi ya kusimamia amani na utulivu, kwenye  utulivu na amani lazima kuwe na uzalishaji wenye tija". Alisisitiza Mhe.  Londo

Aidha DC Kyobya alisisitiza kila AMCOS ihakikishe inapanda Miche ya Matunda 5000 na  kuahidi kutoa miche  bure kwa AMCOS hizo .Vilevile alieleza juu ya umuhimu wa kulinda vyanzo vya maji ili kuondoa migogoro  katika vyanzo  hivyo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Sukari Kilombero Bw. Derrick Stanley alieleza lengo la Mkutano huo  ni kuboresha mahusiano baina ya Kampuni na Wadau wake  na  kuhakikisha mahusiano hayo yanaimarika zaidi.

" Niwapongeze  wadau wetu kuhakikisha Kiwanda  kinapata muwa kila siku, lengo kubwa ni kuhakikisha Kiwanda hiki kinapata muwa na Sukari ya uhakika". Alisema Bw. Derrick







Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • BENKI YA CRDB YAKABIDHI VITI NA MEZA 100 SHULE YA SEKONDARI MAHUTANGA
  • CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) KUWEZESHA VIJANA KUONGEZA UZALISHAJI NA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO - HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KAMATI YA USALAMA YA WILAYA YA KILOMBERO (KU) YAMPONGEZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA BI . PILLY KITWANA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO
  • WAZEE WATAKIWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI NCHINI
  • WADAU WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WATAKIWA KUWASAIDIA WANANCHI KUPATA MBEGU BORA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani