Soko Jipya la Kiberege
Mkuu wa Divisheni ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Reuben Urassa amezungumza na Wafanyabiashara wa Soko la Kiberege Februari 2,2024 ili waanze kufanya shughuli zao katika vizimba vipya vya Soko hilo.
Wakwanza kushoto,Mkuu wa Divisheni ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Reuben Urassa.


Vizimba vya Soko Jipya la Kiberege


Soko la zamani

