• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

SERIKALI ILIVYOTATUA ADHA YA KUTEMBEA UMBALI WA ZAIDI YA KM 10 KWA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MSOLWA STATION

Posted on: October 24th, 2023

Shule ya Sekondari Msolwa Station yenye namba za usajili *S6252* inayopatikana Kijiji cha Msolwa Station, Kata ya Msolwa Station, Tarafa ya Kidatu katika  Halmashauri ya Mji Ifakara.


Shule hii imeanza rasmi mwaka huu 2023 ambapo ujenzi wake ulianzishwa Mwaka 2022 kwa nguvu za Wananchi kwa kuanzisha jengo lenye Madarasa mawili na kupelekea Uongozi wa Halmashauri ya Mji Ifakara kuona haja ya kuunga mkono juhudi za Wananchi  kwa kutoa fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 ili kumalizia hatua zilizoanzishwa katika ujenzi.


Kwa utashi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,Shule hii ilipokea fedha kiasi cha shilingi Milioni 60 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa matatu na kufanya shule iwe na jumla ya Madarasa Matano


Shukrani za dhati zimuendee Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Ndg.Lena Nkaya kwa kufanikisha ukamilishaji wa ujenzi wa Shule hii.


Mpaka sasa wanafunzi wapatao 120 wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu  takriban km 10 kwenda Shule ya Sekondari Nyange na km 10 kurudi katika makazi yao ili kuisaka haki yao ya Msingi ya kupata Elimu.


Ni matumaini yetu kuwa Wananchi wataendelea kujitolea katika kutatua changamoto na kuleta Maendeleo yenye tija katika jamii husika na Serikali iko tayari kuwatumikia Wananchi wake kwa kuunga mkono juhudi zao.

Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani