MKUU WA WILAYA YA KILOMBERO MHE.DUNSTAN KYOBYA AMEKABIDHI PIKIPIKI SITA (6) KWA MAAFISA UGANI NA MIFUGO ZILIZO TOLEWA NA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI LEO DESEMBA 6,2023.
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Dunstan Kyobya amekabidhi pikipiki sita(6) Kwa maafisa Ugani na mifugo zilizotolewa na wizara ya mifugo na uvuvi leo desemba 6,2023.
Hata hivyo Halmashauri ya Mji Ifakara imepokea jumla ya pikipiki sita kutoka wizara ya Mifugo na Uvuvi kati ya pikipiki 1200 zilizonunuliwa katika mwaka wa fedha 2022/2023.
Huu ni muendelezo wa wizara kutoa vitendea kazi ili kuwafikia wadau wa kilimo na wafugaji wengi zaidi ili kuongeza tija ya uzalishaji.




