MKUU WA WILAYA KUTOA MIFUKO 50 YA CEMENT KUKAMILISHA UJENZI WA JENGO LA OFISI YA KIJIJI CHA KILAMA
Mkuu wa wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya ameahidi kutoa mifuko 50 ya cement ili kuendeleza na kukamilisha ujenzi wa ofisi ya kijiji cha kilama kata ya Kibaoni alipokuwa anazindua kampeni ya Upandaji Miti.



