Mkuu wa Wilaya kuhamasisha uchangiaji wa mjradi ya maendeleo kuelekea sikukuu za Uhuru
Mh.Mkuu wa Wilaya ya Kilombero akiwa katika uhamasishaji wa uchangiaji wa nguvu na mali katika ujenzi wa miradi ya maendeleo akiwa katika kijiji cha Msolwa Station ameshiriki shughuli mbalimbali za uhamasishaji akizindua ziara yake kuelekea sherehe za miaka sitini (60) ya Uhuru na Hamsini na tisa (59) ya Jamhuri.