Mkuu wa wilaya atembelea Kilombero Sekondari kwa mara ya kwanza.
Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan, Katika wilaya ya Kilombero Mkuu wa Wilaya akishirikiana na Watumishi wa serikali pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kilombero wamemtakia Kheri ya Kuzaliwa Mh.Samia Suluhu Hassan.