• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

MIGOGORO YOTE ILIYOPO WILAYA YA KILOMBERO IISHE".MHE.DKT.DAMAS NDUMBARO (MB)

Posted on: December 14th, 2024

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt . Damas Ndumbaro ( Mb) amesema Migogoro yote iliyopo katika Wilaya ya Kilombero inapaswa kuisha kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia( Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa kuwa  kila mwananchi mwenye Mahitaji  anatakiwa apate Msaada wa Kisheria .


Hayo ameyasema mapema leo Disemba, 14,  2024 wakati akifungua Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria katika Wilaya ya Kilombero ambapo alisema Msaada huu wa Kisheria ni maelekezo Mahususi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye aliona kero na changamoto zinazowakuta watanzania  katika masuala ya Sheria na utatuaji wa Migogoro,hivyo akaagiza Wizara yenye dhamana inayohusika na Katiba na Sheria ,iandae mpango wa Msaada wa Kisheria Bure kwa watanzania wote.


"Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza kila mwananchi  mwenye Mahitaji apate Elimu  na msaada wa kisheria ,Wataalamu wapo kwa muda wa siku 9 Wilayani Kilombero na  watahakikisha kila mwananchi mwenye kero anasikilizwa na kutatuliwa kero yake". Alieleza  Mhe. Dkt. Ndumbaro


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya alimshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa kuleta Elimu na  huduma ya Kisheria ya Mama Samia buree katika Wilaya ya Kilombero kwani  Wananchi watatauliwa masuala  mbalimbali ikiwemo  migogoro ya wakulima na Wafugaji, mirathi , ndoa, unyanyasaji wa kijinsia  n.k.


Aidha , Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilombero Ndugu . Mohammed Msuya  aliwataka Wananchi wa Kilombero Kujitokeza kwa wingi katika siku 9 za Wataalamu hao wa Sheria watakazo kuwepo Wilayani Kilombero.





Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani