• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

Maandalizi Mradi wa TACTIC yashika kasi Ifakara

Posted on: December 30th, 2023

Viongozi wa Soko Kuu la Ifakara, wameridhia eneo lililotengwa na Halmashauri ya Mji Ifakara, kupisha ujenzi wa Soko la Kisasa ifikapo Machi 2024.

Maridhiano hayo yamefanyika Tarehe 29 Disemba 2023 kati yao na Wataalamu wa Halmashauri ya Mji Ifakara baada ya kutembelea  katika eneo ambalo litajengwa soko hilo wakiwa wameambatana na viongozi wa Mtaa. 

"Tumeridhishwa na ukubwa wa eneo la Uwanja wa Kiungani ili kupisha ujenzi wa Soko utakapoanza japo ombi letu ni kuboreshewa Miundombinu inayokidhi mahitaji ya Wafanyabiashara". Joseph Haule, Mwenyekiti wa Soko kuu la Ifakara.

Soko la Ifakara linatarajiwa kujengwa kisasa kwa zaidi ya Shilingi Bilioni 3 kwa muda wa Mwaka mmoja, kupitia  Mradi wa Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania - TACTIC.

Hii ni baada ya maridhiano ya Wafanyabiashara  wa Soko Kuu la Ifakara na Wataalamu wa Halmashauri ya Mji Ifakara yaliyofanyika Tarehe 7 Septemba 2023.

Matukio katika Picha:

Timu ya Wataalamu kutoka Halmashauri ya Mji Ifakara, Viongozi wa Serikali ya Mtaa wa Kiungani na Viongozi wa Soko Kuu la Ifakara wakiwa katia eneo ambalo Wafanyabiashara wa Soko hilo watahamishiwa kwa muda ili kupisha ujenzi wa Soko jipya la Ifakara.


Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani