• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA

Posted on: February 3rd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Wakili Dunstan Kyobya leo februari 3,2025 amezitaka taasisi zote zinazosimamia kesi za madai kutenda haki pia wafanye  kazi Kwa weledi,uadilifu pamoja na uwajibikaji kama Kauli mbiu ya Mahakama inavyosema.

DC Kyobya ameyasema hayo katika Kilele cha wiki ya Sheria, ambapo aliwataka Mawakili hasa wa kujitegemea kuwa na utaratibu wa kutoa msaada wa kisheria bure Kwa wananchi ili kuweza kutatua changamoto zao hata hivyo amewapongeza Mawakili Kwa kazi nzuri wanayofanya Halmashauri ya Mji Ifakara na Wilaya ya Kilombero kwa ujumla.

Aidha Mhe.Wakili Kyobya amewataka Mawakili wasio na vigezo maarufu kama (Vishoka) kuacha kujihusisha na utoaji wa huduma za kisheria na endapo watabainika kuendelea na kazi hiyo hatua Kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao pia ameongeza kuwa wananchi wanatakiwa kuelimshwa ili kusimamia haki zao.

" Niwaombe OCD,Mhe.Hakimu Mfawidhi Pale ambapo mtaona mtu anafanya shughuli za kisheria na hana leseni maarufu (Vishoka) basi mchukue hatua na mhakikishe haki inatendeka,"amesema DC Kyobya.

Hata hivyo Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Kilombero Mhe.Regina Futakamba amesema kuwa wiki ya Sheria ni fursa Muhimu Kwa wananchi kupata elimu ya masuala mbalimbali ya sheria  pamoja na kupata msaada wa kisheria bure ikiwemo Usimamizi wa Mirathi,uandishi wa Wosia, Haki Jinai nk.










Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • BENKI YA CRDB YAKABIDHI VITI NA MEZA 100 SHULE YA SEKONDARI MAHUTANGA
  • CHUO KIKUU CHA SOKOINE CHA KILIMO (SUA) KUWEZESHA VIJANA KUONGEZA UZALISHAJI NA MNYORORO WA THAMANI WA MAZAO - HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KAMATI YA USALAMA YA WILAYA YA KILOMBERO (KU) YAMPONGEZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA BI . PILLY KITWANA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO
  • WAZEE WATAKIWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI NCHINI
  • WADAU WA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI WATAKIWA KUWASAIDIA WANANCHI KUPATA MBEGU BORA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani