MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU
Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara wameadhimisha siku kuu ya 9 Disemba kwa kufanya Bonanza la michezo sambamba na usafi wa Mazingira katika kituo cha Afya kibaoni
"Umoja na mshikamano ni chachu ya maendeleo kwa Taifa letu"


