Maadhimisho ya Miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania yamefanyika kwa zoezi la usafi katika kituo cha Afya Kibaoni zoezi hilo liliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mh.Hanji Yusufu Godigodi pamoja na Mkrugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Mh.Lena Martin
MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA