Kituo cha Afya Mang'ula chapokea Vifaa Tiba
Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe.Abubakar Asenga, amekabidhi vifaa Tiba kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara bi.zahara Michuzi katika Siku ya kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Samia Suluhu Hassan 27/01/2024.
Vifaa vilivyopokelewa ni pamoja na Vitanda vya kujifungulia pamoja na Mashuka.