Kikao kazi na Watendaji Kata
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi.zahara Michuzi amefanya kikao na Watendaji kata wote Februari 1,2024 wa Halmashauri ya Mji Ifakara akisisitiza uwajibikaji unaozingatia Maadili hasa katika Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo.