Kikao cha Baraza la Wafanyakazi
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Mwl.Christopher Wangwe ameendesha kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili na kufanya mapitio ya mapendekezo ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Baraza limepitisha mapendekezo hayo kwakuwa limezingatia stahiki za Watumishi kama vile likizo,Uhamisho na Motisha chanya kwa Watumishi Hodari



