IFAKARA SPORTS CLUB YAMPOKEA TD ZAHARA KWA KISHINDO.
Klabu ya Michezo inayoundwa na Watumishi wa Halmashauri ya Mji Ifakara imempokea kwa kishindo Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bi.Zahara Michuzi kwa kumpa Zawadi na kumuomba aungane nao katika kukuza na kuendeleza vipaji vya Ifakara.


