• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

IFAKARA MJI YATWAA KOMBE LA MSHINDI WA PILI SHIMISEMITA 2024.

Posted on: September 6th, 2024

IFAKARA  MJI YATWAA KOMBE LA MSHINDI WA PILI,  SHIMISEMITA 2024

Timu ya Mpira w Miguu wanaume ya Halmashauri ya Mji Ifakara imetwaa kombe la Mshindi wa Pili kwenye hatua ya fainali ya SHIMISEMITA 2024  baada  ya kufungwa kwa  taaabu sana na Timu ya Geita DC goli 2 kwa moja hapo jana Alhamisi tarehe 5 Septemba, 2024. 


Akizungumza mara baada ya ushindi huo Afisa Michezo wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bwana  Rashid Mgaruka alimshukuru Mungu kwa ushindi huo  kwani kazi haikuwa rahisi. Vile vile amemshukuru  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara  Bi. Zahra Michuzi kwa kuwawezesha kushiriki mashindano hayo yaliyowafanya kukutana na marafiki na pia  kutengeneza marafiki wapya. Bwana Mgaruka aliahidi timu kuendelea kujipanga vizuri kwaajili ya mashindano yajayo.


" Tunamshukuru Mkurugenzi wetu wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi. Zahra Michuzi ambaye ni mwanamichezo namba moja kwa  kutuwezesha kushiriki mashindano haya kwani tumeweza kufahamiana na watu na kuongeza jiografia ".alisema Bwana Mgaruka  na kuongeza " tumepata fursa ya kurefresh na hivyo tunarudi kazini tukiwa na nguvu na ari mpya. Tunaahidi safari nyingine kubeba kombe la Mshindi wa kwanza." alimaliza Bwana Mgaruka


Jumla ya timu 66 zilishiriki mashindano hayo ya SHIMISEMITA 2024 yaliyofanyika Jijini Mwanza kuanzia tarehe 25 Agosti, 2024  na kuhitimiswa jana Septemba 5, 2024.





Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani