• Nukuu ya Ukaribisho
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Mawasiliano Yetu
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia
    • Taswira
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Biashara
    • Ukaguzi wa Ndani
    • Manunuzi & Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Ustawi wa Jamii
    • TEHAMA
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
  • Uwekezaji
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Kapu
    • Utamaduni,Sanaa & Michezo
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos

DC Kyobya azindua wodi ya kujifungulia wakina mama wajawazito na vifaa tiba,kituo cha Afya kibaoni

Posted on: October 28th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya leo Jumatatu tarehe 28 Oktoba 2024 amezindua Wodi ya kujifungulia wakina mama  wajawazito katika Kituo cha Afya Kibaoni kilichopo Halmashauri ya Mji Ifakara  pamoja na Vifaa tiba ikiwemo Kiti cha Kung'olea meno ( Dental Chair) , mashine ya kufulia pamoja na Mashine ya Mionzi (X Ray).


Aidha alimshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuleta kiti cha kisasa cha kung' olea meno chenye thamani  ya Shilingi Milioni 21, Mashine ya kufulia yenye thamani ya Shilingi Milioni 22, pamoja na Mashine ya mionzi (X Ray) yenye thamani ya Shilingi Milioni 566.


Vile vile, Mhe. DC alimshukuru Mdau SOLIDARMED kwa kukarabati wodi ya Kujifungulia kina mama na pia  alimshukuru Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe. Abubakari Asenga kwa kusaidia upatikanaji wa Vitanda katika wodi hiyo ya kina mama.


" Shukrani kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt . Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea vifaa  tiba hivi,  kwani vitatatua changamoto nyingi katika Hospitali hii  hivyo kila mtumiaji , wagonjwa na wanaifakara kwa ujumla tunapaswa kuvitunza ili viendelee kutusaidia ". Alisema Mhe. Kyobya


Kwa upande wake Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Daktari Dorcas Ng'wandu alishukuru kwa upatikanaji wa Vifaa hivyo na kuahidi kuvitumia vizuri.


Aidha Mhe. Kyobya alitumia nafasi hiyo kumpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Bi .Zahara Michuzi kwa kusimamia vizuri Utekelezwaji wa miradi mbalimbali  ya Maendeleo katika Halmashauri hiyo.






Latest Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA KUPIGA KURA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA KITUO TOFAUTI NA KITUO ALICHOJIANDIKISHA

    read more
  • TANGAZO LA ULIPAJI WA ADA NA USHURU KWA WANANCHI, WAFANYABIASHARA NA TAASISI MBALIMBALI IFAKARA MJI

    read more
  • View More

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA HALMASHAURI KWA MWAKA 2026/27 HADI 20230/31
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA, TIMU YA MENEJIMENTI WAPONGEZWA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • MHESHIMIWA KASSIM FAYA NAKAPALA ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
  • KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA KILOMBERO AWATAKA MADIWANI KUHAKIKISHA KERO ZA WANANCHI ZINATATULIWA
  • More

Mawasiliano Yetu

Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Simu ya Mkononi: -

Kurasa za Haraka

  • CHF
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

Mitandao ya Kijamii

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya Uhifadhi
  • Maswali ya mara kwa mara
  • Ramani