DC KYOBYA ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WA HOSPITALI PAMOJA NA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA
Mkuu wa wilaya ya Kilombeo Mhe.Wakili Dunstan Kyobya ametembelea miradi ya ujenzi wa Hospitali pamoja na Ofisi za Makao Makuu ya Halmashauri ya Mji Ifakara na kusisitiza usafi pia kukamilisha ujenzi huo kwa wakati.


