Baraza la Kata
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara Mhe.Kassim Nakapala ameongoza kikao cha Baraza la Kata leo Februari 3,2024 .

Ambapo kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Adv.Florida Kimambo alikuwa katibu wa kikao hicho chenye lengo la kupokea Taarifa za utekelezaji wa Maendeleo katika Kata zote.

Taarifa za Kata 19 zimepokelewa vyema na wajumbe wameridhia .

