- Idadi ya watu kwa Mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 = 290,424 (Wanaume 141,023. Wanawake 149,401)
- Kilometa za mraba = 3,893 Km sq
- Tarafa = 3
- Kata = 19
- Vijiji = 48
- Mitaa = 33
- Vitongoji = 214
- Shule za Msingi = 103 ( Serikali 86 na Binafsi 17)
- Shule za Sekondari = 44 (Serikali 29 na Binafsi 15)
- Zahanati = 39 (Serikali 27 na Binafsi 12)
More Statistics