Mratibu wa TASAF àà Halmashauri ya Mji Ifakara Bi. Brigita amewataka Wawezeshaji wa TASAF kutoa elimu kwa walengwa kuhusu kusajiliwa na kupokea malipo kielekroniki.
Aidha, Bi. Brigita ametilia mkazo kuhusu upokeaji wa malalamiko toka kwa walengwa wa TaSAF na kuyashughulikia punde tu yanapojitokeza, bila kusahau utunzaji wa taarifa za kaya kupitia matumizi ya fomu mpya za malipo zilizoboreshwa. Na amewasihi wawezeshaji Kupitia warsha za jamii watakazofanya wasisitize matumizi sahihi ya fedha wanazozipata you c wa TASAF.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: -
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa