Mhe Kassim Faya Nakapala
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara

Mwenyekiti wa awamu ya pili Halmashauri ya Mji Ifakara kuanzia 2020- 2025.

Mwaka 2020 alichaguliiwa kuwa Diwani wa Kata ya Lipangalala nafasi hii pia ndiyo iliyompa fursa ya kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Ifakara tangu 2020 mpaka sasa.