Bi. Pilly Ramadhani Kitwana
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Bi. Pili Ramadhani Kitwana aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara Tarehe 24/01/2025 akiwa ni Mkurugenzi wa sita tangu Mamlaka ya Mji Ifakara ilipopata hadhi ya Halmashauri ya Mji.