Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aanza ziara katika Wilaya ya Kilombero, akiwa Wilayani Kilombero Mheshimiwa Rais ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami eneo la Kidatu. Mheshiwa Rais ataendelea na ziara katika Halmashauri ya mji wa Ifakara, akiwa Mjini Ifakara kata ya Lipangalala atazindua daraja la Mto kilombero.
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: 0738 223 543
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa