• Mawasiliano Yetu |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Ifakara Town Council
Ifakara Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Ifakara

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Wasifu wa Halmashauri
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Ujenzi
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu & Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Ushirika & Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Manunuzi & Ugavi
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mkaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
  • Huduma
    • Ukodishaji wa Mitambo
    • Upimaji,Usanifu wa Viwanja,Majengo &Mashamba
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za kudumu
    • Kata
      • Mbasa
      • Katindiuka
      • Mlabani
      • Lumemo
      • Kibaoni
      • Viwanja sitini
      • Ifakara
      • Michenga
      • Lipangalala
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • CHF iliyoboreshwa
    • Miongozo
    • Ripoti
    • Kanuni
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
  • Mifumo

PONGEZI KWA WALIMU WAKUU NA WARATIBU KATA KWA KAZI NZURI

Posted on: November 7th, 2018

Pichani Hapo juu (kushoto). Ikimuonyesha Afisa Tarafa Bi Hawa Mposi akitoa pongezi kwa walimu wakuu nawaratibu elimu kata kwa jitihada walizo onyesha kwenye matokeo ya darasa la 7 .mapema leoNovemba 7/2018 katika shule  ya msingi mapinduzi.

Akizungumza na walimu wakuu, waratibu kata elimu, Afisa Tarafa wa mji ifakara ambaye ndie mgeni rasmi katika kikao hicho cha kujua tasmini ya ufaulu katika mtiani wa darasa la saba mwaka huu 2018 na kujiwekea malengo kwa mwaka 2019, Bi Hawa mposi  amepongeza walimu washule zote za msingi katika Halmashauri ya Mji Ifakara  kwa matokeo mazuri ya mtiani kwa mwaka 2018.

Bi Hawa amesisitiza juu ya walimu kuendelea kufanya kazi kwa wiledi nakuto kiuka taratibu za kazi kwani mmeonyesha juhudi kubwa  ya kutokuiba matokeo kwani kunashule ambazo tayari zina sifahiyo kwahivyo muendelee kufanya kazi kwa kufuata maadili ya kazi yenu nguvukubwa na ujuzi wenu utasaidia kupandisha ufaulu katika Halmashauri ya mji  Ifakara.

 Hatahivyo Afisa Elimu msingi Bi Mariam Nnauye  amesema  kuwa anashukuru kwa mafanikio  yaliyo patikana kwa mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2018 nimazuri . huku akisisitiza kuwa kazi iliyopo mbeleni ni kubwa zaidi ili kutoka katika nafasi ya tano katika Halmashauri ya Mji Ifakara jitihada zitumike zaidi.

“Natarajia kuona mafanikio kwenye mtihani wa darasa la 4 kwa mwaka huu wa 2018 kwani kwajitihada mtakazo zionyesha watafanya vizuiri, lakini pia msingoje kusifiwa jueni huu ni wajibu katika kazi ya ufundishaji kwa waalimu wote hapa nchini.” Alisema afisa elimu msingi mwalimu Mariam Nnauye.

Kwa upande wa waalimu wote wa Shule ya msingi mapinduzi, Ifakara, Kiningina, Lumemo na Kibaoni wamewataka wazazi, walezi kushiriki kwa namna moja au nyingine katika kumjenga mwanafunzia ama mtoto kujali maadili ya shule.

Sambamba na wazazi kuhudhuria vikao pale wanapo hitajika nasikumleta mtoto shuleni na baada ya hapo kuwatelekezea walimu  kazi ya kumlea mtoto nijukumu la mwalimu na mzazi ili kumjengea mazingira ya badae na kuongeza ufaulu kwa mwanafunzi.

Hata hivyo imebainika kuwa baadhi ya walezi ama mabibi na wajomba wamekuwa wakizima ndoto za watoto kuendelea kusoma kwa kuwa tegemezi kwa kuwatafutia kipato, badala ya kuwahimiza kwenda shule na kutambuwa kuwa elimu ndiyo ufunguo wa maisha yao hapo baadae.

Baadhi ya walezi wengine kuwaozesha mabinti waliyo chini ya miaka 18, ambao wapo darasa la nne hadi la darasa la sita kinyume na maadili ya mtanzania kupinga ndoa zautotoni.

 

Matangazo

  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA MANG'ULA February 07, 2025
  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA IFAKARA February 07, 2025
  • KUITWA USAILI BVR TARAFA YA KIDATU February 07, 2025
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WOTE HALMASHAURI YA MJI IFAKARA November 01, 2022
  • Ona yote

Habari Mpya

  • WATUMISHI HALMASHAURI YA MJI IFAKARA NA HALMASHAURI YA WILAYA MLIMBA WAJENGEWA UWEZO JUU YA UTEKELEZAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (e -UTENDAJI).

    June 26, 2025
  • WATUMISHI HALMASHAURI YA MJI IFAKARA NA HALAMSAHURI YA WILAYA MLIMBA WAJENGEWA UWEZO JUU YA UTEKELEZAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA (e -UTENDAJI).

    June 26, 2025
  • WAKULIMA WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA WAHAKIKISHIWA KUENDELEA KUZALISHA MAZAO NA KUPATA FAIDA ZAIDI KUPITIA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

    June 11, 2025
  • VIZIMBA MAALUM VYA KUTUPA MAKOPO YA VIUWATILIFU VYATAKIWA KUJENGWA KATIKA KATA ZA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA.

    June 05, 2025
  • Ona yote

Video

Shangwe la Mkesha wa Mwenge 2025 Uwanja wa CCM Mkamba Kidatu Msanii wa Muziki MC Hamza akiimba na wanaIfakara, Tarehe 17-04-2025.
More Videos

Kurasa za Haraka

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024
  • Ramani ya halmashauri ya mji wa Ifakara
  • BOFYA HAPA KUOMBA KITAMBULISHO CHA WAJASILIAMALI WADOGO
  • CHF

Kurasa Mfanano

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Wizara ya Tamisemi
  • Wizara ya utumishi wa uma
  • Tovuti ya mkoa wa Morogoro
  • Tovuti ya Ajira Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Mawasiliano Yetu

    Kibaoni - Bomani

    Sanduku la Barua: 433 Ifakara

    Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212

    Simu ya Mkononi: -

    Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Uhifadhi
    • Kanusho
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa