Zaidi ya mechi 16 zilizo shindanishwa kuanzia Juni Mosi, 2017 katika mchezo wa ndondo cup katika halmashauri ya mji ifakara nampaka kufikia jana katika fainali zilishindana timu mbili ambazo zilishinda robo fainali,nusu fainali nakuingia fainali nimangwaleFC na cosovo FC nakupatikana mshindi aliye jinyakulia kiasi cha shilingi milioni moja taslimu.
Akizungumza leo mratibu wa mashindano ya ndondo cup ifakara ndugu ANTONY KAMWANALELU katika kiwanja cha under stia kwashungu amasema lengo lakuanzishwa kwa mashindano haya nikuendeleza vipaji vilivyoko katika mji wetu wa ifakara kwa lengo la kutoa wachezaji wakubwa watakao chezea timu zanje na zandani hapo badae .
Aidha ndugu Antony amesema kuwa mashindano haya yatakuwa yakifanyika kila mwaka ikishirikisha vijana wasehemu mbalimbali ya mji wetu wa Ifakara na nje ya ifakara ilikuendelea kukuza vipaji vya wa chezaji wetu wachini mpaka kufikia kuwa wakimataifa.
Pamoja nahayo zawadi zilitolewa kwa mshindi wakwanza sh. 100,0000/= na mshindi wa pili alipatiwa kiasi cha sh.500,000/= pamoja na kikundi cha burudani cha magwale kilipatiwa kiasi cha shilling.50,000/= kikundi cha nidhamu cha cosovo kilipatwa sh.50,000/= na kikundi cha ushangiliaji kilipatiwa sh.50,000/= yote hiyo nikuhamasisha michezo amesema Antony.
Ndugu Robert Selasela amewashukuru wadau wote wa ndondo cup kwakushiriki kikamilifu mashindano hayo kuanzia mwanzo mpaka kufikia fainali na kwa mashindano kuisha salama na hatimaye kupata mshindi ambae ni ndanda cosovo waliopokea kitita cha sh.100,0000
Kibaoni - Bomani
Sanduku la Barua: 433 Ifakara
Simu ya Mezani: +255 (0)23 - 2934212
Simu ya Mkononi: 0738 223 543
Barua Pepe: td@ifakaratc.go.tz / info@ifakaratc.go.tz
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa