Thursday 26th, April 2018
@KITUO CHA AFYA KIBAONI
Halmashauri ya Mji Ifakara itafanya Uzinduzi Maadhimisho ya Wiki ya Chanjo yatakayoanza tarehe 24.04.2017 mpaka 30.04.2017 kwa Watoto wote walio na Umri chini ya miaka mitano.
Chanjo zoe za Watoto walio na Umri wamiaka mitano zitatolewa katika Kituo cha Afya Kibaoni, Hospitali ya St.Francis, Zahanati ya Nesa,zahanati ya Michenga pamoja na Huduma za Mikoba Vijijini.
Wazazi na Walezi wote mnahimizwa kuwafikisha watoto katika Vituo vya Kutolea Huduma siku ya Uzinduzi utakaofanyika Kituo cha Afya Kibaoni na katika Vituo vilivyotajwa Baada ya Uzinduzi
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa