Thursday 15th, April 2021
@KIBAONI SHULE YA MSINGI
Halmashauri ya Mji Ifakara itaadhimisha Juma la Elimu litakalizinduliwa na Mkurugenzi wa Mji katika Shule ya Msingi Kibaoni na baadaye kuadhimishwa katika Kata zote 9 za Halmashauri ya Mji kwa ratiba ifuatayo
Tarehe 03/05/2017 -Ufunguzi wa Juma la Elimu Shule ya Msingi Kibaoni kuanzia saa 3:00 Asubuhi
04/05/2017- Maadhimisho yataendelea katika Kata za Lumemo, Michenga na Lipangalala yatakayofanyika katika Shule ya Msingi Lipangalala
05/05/2017 - Maadhimisho yataendelea katika kata ya Viwanja 60,Ifakara,Katindiuka, na Mlabani ambayo yatafanyika Shule ya Msingi Jongo
06/05/2017- Maadhimisho yatahitimishwa kwa kufanyika kikao cha Wadau wa Elimu katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya Kilombero kuaznia saa 3:00 Asubuhi
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa