WANANCHI NA WATUMISHI WOTE WA HALMASHAURI YA MJI IFAKARA MNAJULISHWA KUWA, KUTOKANA NA UWEPO WA UGONJWA WA COVID - 1 9 TUMEELEKEZWA NA WATAALAMU WA AFYA KUPUNGUZA MISONGAMANO.
HIVYO KWA HUDUMA AMBAZO HAZIHUSISHI NYARAKA, TAFADHALI PIGA SIMU ZIFUATAZO KWA MSAADA:-
SNO
|
IDARA
|
NAMBA YA SIMU
|
SNO
|
IDARA
|
NAMBA YA SIMU
|
1
|
MKURUGENZI WA HALMASHAURI
|
0712 481 724
|
11
|
MKAGUZI WA NDANI
|
0713 790 999
|
2
|
AFISA UTUMISHI NA UTAWALA
|
0674 028 013
|
12
|
AFISA MISITU
|
0784 429 730
|
3
|
AFISA MIPANGO
|
0715 371 765
|
13
|
AFISA ARDHI NA MIPANGO MIJI
|
0686 312 447
|
4
|
AFISA ELIMU SEKONDARI
|
0658 828 385
|
14
|
AFISA KILIMO NA USHIRIKA
|
0713 566 411
|
5
|
AFISA ELIMU MSINGI
|
0786 606 906
|
15
|
AFISA MIFUGO NA UVUVI
|
0659 200 624
|
6
|
AFISA MAENDELEO YA JAMII
|
0784 467 414
|
|
|
|
7
|
AFISA TEHAMA
|
0755 137 996
|
|
|
|
8
|
AFISA MANUNUZI
|
0788 905 420
|
|
|
|
9
|
MWEKA HAZINA
|
0784 604 713
|
|
|
|
10
|
MWANASHERIA
|
0712 942 465
|
|
|
|
NA KWA HUDUMA ZINAZOHUSISHA KUSAINI NYARAKA TUNAOMBA UFIKE OFISINI UKIWA UMEVAA BARAKOA .
NA MNAKUMBUSHWA KUNAWA MIKONO KWA MAJI TIRIRIKA NA SABUNI AU VIPUKUSI KABLA YA KUINGIA KWENYE OFISI.
IMETOLEWA NA
FRANCIS K.NDULANE
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI IFAKRA
Haki Miliki @2018 Halmashauri ya Mji wa Ifakara . Haki zote zimehifadhiwa